The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) wishes to inform the petroleum industry operators, suppliers, service providers and the general public that it has updated the LSSP for the month of June, 2021 with 737 local business entities.
Read More:-https://www.ewura.go.tz/local-content-lssp-database/
Hits: 783
Naitaji leseni ya ukandaras wa umeme
Ndugu Emmmanuel,
Leseni huombwa kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi kinachopatikana katika tovuti ya Mamlaka. Kiunganishi ni https://lois.ewura.go.tz/ewura/
Inapaswa kuwa na picha yenye kivuli cha bluu, cheti cha ufundi, wasifu wako.
Gharama ya maombi ya leseni ni shilingi elfu kumi 10,000/
Kwa msaada au maelezo zaidi unaweza kupiga simu BURE 0800110030 muda wa kazi.
Karibu
leseni utolewa ndani ya muda gani baada ya maombi kulipiwa?
Ndugu
Arnette, leseni hutolewa ndani ya siku 30 baada ya kupokelewa maombi kamili.
Karibu
Kanzi data tunajaza online au inakuja Kama hard copy.?