Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatoa mwito wa maoni au pingamizi dhidi ya maombi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-Maombi ya Kubadili Majina na Leseni
Hits: 265