Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Karatu

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi tajwa hapo juu, awasilishe kwa maandishi EWURA  ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu yeyote kwa maombi maalum ya maandishi.

Soma Zaidi:-

Hits: 211

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *