TAARIFA inatolewa kwa umma kuwa, EWURA imepokea maombi ya leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati kwa ajili ya kutoa huduma za majisafi na usafi wa mazingira katika eneo la Babati mjini na Miji ya Bashnet, Dareda, Gallapo, Magugu na Katesh; zilizopo Mkoa wa Manyara.
Soma Zaidi:-
Hits: 246