Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Januari 2022.
Soma zaidi :- Cap Prices for Petroleum Products wef 05 January 2022- English
Cap Prices for Petroleum Products wef 05 January 2022-Kiswahili
Views: 6362
Nadhani Bei ziwe sawa nchi nzima
Kwasababu Watanzania wote ni “sawa”
Habari njema