EWURA wishes to inform the petroleum industry operators, suppliers, service providers and the general public that it has updated the LSSP for the month of December,2021 with an increase of 80 local business entities which makes a total of 1,182 currently registered in the LSSP Database;-
Read More :- Preamble December 2021
Hits: 607
Sisi, kampuni ya NIFLOSI GRAPHICS AND ACCESSORIES yenye makao makuu jijini Dar es Salaam. Tunapanda kujisajili kwenye Local Suppliers and Service Providers (LSSP) ya EWRA. Email yetu ni niflosi2021@gmail.com
Tunaomba utaratibu wa kufuata ili kujisajili.
Ahsante
John Malanilo
Deputy CEO
Ndugu John,
Kujisajili katika kanzidata bofya kiunganishi https://cqs.ewura.go.tz/. Kiunganishi hiki kinapatikana katika tovuti ya EWURA eneo la Online services.
Karibu
Habari naitwa Kassim Flugence Akilimali.
Nimepata tenda ya kusambaza maji ya kunywa (packed bottles za maji ya Afya) kwenye mradi wa bomba la mafuta Chongoleani -Tanga. Kama mtu binafsi.
nimeabiwa niombe kibali Ewura,naomba kujua utaratibu ukoje.
mawasiliano yangu ni : email akilimali3000@gmail.com
namba ya simu: 0719411755
Ndugu Kassim;
Unachotakiwa kufanya ni kujisajili katika kanzidata ya watoa huduma kupitia mfumo wa kieletroni katika tovuti yetu http://www.ewura.go.tz kwa kiunganishi https://cqs.ewura.go.tz/
Karibu