Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 4 Mei 2022
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Hits: 19186
jamani hii sisawa bei za mafuta zimepandishwa leo juma nne ewura mpowapi uwoniwiziii jamani
Naomba kujua bei mpya ya mafuta
Ndugu Castor,
Kufahamu bei ya mafuta piga *152*00#; chagua namba 4 na endelea kufuata maelekezo.
Karibu.
Tuombe mungu azidi kuyapunguza kuliko kuendelea kupanda
Bei mpya ya mafuta june itatangazwa lin?
Tunaomba ushushaji wa bei ya mafuta uendane sambamba na nauli kupungua cyo nauli kubakia palepale
Naomba kujua bei ya mafuta Kwa sass ni shs ngap
Ndugu Thomas,
Kufahamu bei ya mafuta popote ulipo piga *150*02#; chagua namba 4, endelea kufuata maelekezo.
Karibu