Mwito wa Maoni : Maombi ya Bei za Mpito za Huduma za Uondoaji wa Majitaka kwa gari kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inawaomba wadau kuwasilisha maoni ya maandishi kwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA wakati wowote hadi tarehe 19 Mei 2022 kuhusu maombi ya bei za mpito za huduma za uondoaji wa majitaka kwa gari kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Maizngira Tanga (Tanga WSSA).

Soma Zaidi:-

 

Hits: 181

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *