Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza, Serikali kujibana na kupunguza matumizi ili ruzuku ya shilingi bilioni mia moja (Shilingi 100,000,000,000) ipatikane kwa ajili ya kupunguza bei za mafuta hapa nchinikatika kipindi kilichobaki cha mwaka 2021/22.
Soma Zaidi:-Kauli ya Waziri wa Nishati kuhusu Kupanda kwa Bei ya Mafuta na Hatua za Kushughulikia suala hilo
Hits: 782