Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Juni 2022.
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Hits: 8137