TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, Mamlaka  imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi: Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni

Visits: 383

3 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

  1. Naitwa Martin Toshi Mchopa wa Mtwara Najishulisha na Ufundi wa Ufungaji wa Umeme nauliza jinsi gani naweza Kuipata Leseni ya Ufungaji wa Umeme?

    1. Ndugu Martin,
      Maombi ya leseni hufanyika kwa njia ya mtandao. Bifaya kiunganishi hiki https://lois.ewura.go.tz/ewura/ kujisajili na kuendelea kujaza fomu, kisha utapatiwa namba ya malipo (Control Number) ili ulipie leseni. Viambatisho husika ni picha ya pasipoti yenye kivuli cha bluu, wasifu wako unaoonesha kazi ulizofanya (CV)na vyeti vvya elimu ya ufundi.
      Karibu

  2. I do not еѵen know how І ended up here, but I thought this post wɑs great.
    I dߋn’t know who you are but definitely you are going to a famouѕ blogger if you aren’t aⅼready 😉 Cheers!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *