TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei kutoka Mamalaka ya Maji na Usafi wa Mazingira

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inatoa taarifa kuwa kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 23 Juni 2022, katika Ukumbi wa KDA, Karatu Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA (EWURA CCC) na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi:-

Hits: 640

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *