Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) itauza kwa njia ya mnada wa hadhara vifaa chakavu vikiwemo samani na vifaa vya ofisi; na vifaa vya TEHAMA tarehe 08/06/2022 kuanzia saa nne (4:00) Asubuhi.
Soma Zaidi:- Mnada wa Hadhara
Hits: 486