Mwito wa Maoni ya Wadau: Maombi ya Marekebisho ya Bei kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilipokea maombi ya marekebisho ya bei za huduma za maji safi na usafi wa mazingira kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira,kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414, kinachoitaka EWURA kutoa tangazo la taftishi ili kukusanya maoni kutoka kwa wadau wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea na Umma kwa ujumla kuhusu bei zinazopendekezwa. Kama sehemu ya taftishi, kutakuwa na mkutano wa kusikiliza maoni ya wadau utakaofanyika siku ya Jumatatu, tarehe 22 Agosti 2022 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kuanzia saa nne asubuhi.

Soma zaidi :-

Visits: 705

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *