Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inapenda kuwataarifu wasambazaji wote wa gesi ya LPG (LPG Distributors) kuhakikisha kuwa wakuwa na leseni ya kuendesha biashara hiyo kutoka EWURA na kuwa na mikataba na wauzaji wadogo wa gesi hiyo. EWURA inawataka wasambazaji wote wa LPG kufanya hivyo kabla ya tarehe 20 Novemba 2022.
Soma zaidi :-
Views: 176