TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na majina la vituo vya mafuta vya Marema and Muhere Complex Co. Ltd – Mara Fuel Service Station na New Mwendo wa Saa – Kagondo Filling Station.
Soma zaidi :- Kubadili umiliki wa leseni
Hits: 133