Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, Mamlaka imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli, hivyobasi,mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi k wawasilishe EWURA ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni Petroli
Views: 417