EWURA inakaribisha maoni kutoka kwa wananchi juu ya maombi ya leseni ya kutoka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira kwa ajili ya kutoa huduma za majisafi na usafi wa mazingira katika eneo la Babati mjini na Miji ya Bashnet, Dareda, Gallapo, Magugu na Katesh; zilizopo Mkoa wa Manyara.
Soma Zaidi:-
Views: 137