TANGAZO LA FURSA ZA MIKOPO NAFUU YA UWEZESHAJI WA UJENZI NA UENDESHAJI WA VITUO VIDOGO VYA BIDHAA ZA MAFUTA VIJIJINI

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetenga fedha kwa ajili ya kutoa mkopo nafuu kuwezesha ujenzi wa…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta kutoka National Oil Tanzania Ltd kwenda Msigwa Logistics & Timber Supply

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea…

TANGAZO KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Lindi

Tangazo hili limetolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414, …

TANGAZO KWA UMMA: Agizo kwa Viwanda Vyote Nchini Vinavyozalisha Umeme kwa Matumizi zaidi ya MegaWati moja (1MW) kuwa na Leseni ya EWURA

Kwa mujibu wa Kifungu cha 8(1)(a) cha Sheria ya Umeme, Sura ya 131, na Kifungu cha…

PUBLIC NOTICE: USAID/NARUC Women in Energy Regulation Internship Opportunities May 2023

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), in collaboration with NARUC, has four internship opportunities…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni au Pingamizi kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusiha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…

PUBLIC NOTICE: A Call for Stakeholders’ Comments on the Proposed Amendment of the EWURA (Petroleum Products Price Setting) Rules

With regard to section 19(2) of the EWURA Act, Cap. 414, The Energy and Water Utilities…

A Call for Comments or Objections on Application for a Provisional Electricity Generation Licence from Bugando Natural Energy Limited

NOTICE is hereby issued to the public that the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)…

PUBLIC NOTICE: Transfer Vacancies May 2023

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world-class regulatory authority responsible for…