TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano Tarehe 7 Septemba 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 7 Septemba 2022.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

 

Visits: 4537

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *