Mwito wa Maoni au Pingamizi dhidi ya Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni kutoka Asood Petroleum Company Limited kwenda Allyen Company Limited

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa…

TAARIFA KWA UMMA:Maombi ya Leseni ya Awali ya Kuzalisha Umeme kutoka Kampuni ya Suma Hydro Ltd

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe EWURA ndani ya siku ishirini…

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Nzega

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi  dhidi ya maombi ya leseni kutoka Nzega WSSA, awasilishe kwa…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maombi ya Leseni kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Igunga

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni ya kutoa huduma ya majisafi…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji za Mbeya WSSA

Taarifa  hii inatolwa kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414,…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Geita WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana dhidi ya maombi tajwa hapo juu, awasilishe kwa maandishi…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Namanyere WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni kutoka Mamlaka ya Maji Namanyere,…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Mpanda WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni kutoka Mamlaka ya Majisafi na…

TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Kuanzia Jumatano 2 Novemba 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…

TAARIFA KWA UMMA:Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA

Kwa mujibu wa kifungu cha 8(2) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati…