Mwito wa Kutoa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, Mamlaka imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Hivyo basi; mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Mwito wa Kutoa Maoni-Maombi ya Leseni Sekta ya Mafuta ya Petroli

 

 

Visits: 145

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *