TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yazindua Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za Maji nchini kwa Mwaka wa Fedha 2022-23

EWURA imezindua  taarifa ya  15 ya utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanzania bara. Madhumuni ya taarifa hizo ni kuujulisha umma kuhusu hatua iliyofikiwa na mamlaka za maji katika kutoa huduma ya majisafi na usafi wa mazingira, kupima jitihada za mamlaka  hizo katika kufikia malengo ya utendaji kazi na kupendekeza hatua za kuboresha utoaji wa huduma. Kwa mwaka 2022/23, amlaka za maji za Iringa, Nzega na Biharamulo ziliibuka vinara katika utoaji wa huduma za majisafi na usafi wa mazingira.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/sw/utendaji-wa-mamlaka-za-maji-na-usafi-wa-mazingira/

Visits: 1794

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *