Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira

Taarifa za jumla | Shughuli za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira | Nyenzo za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira | Utoaji wa leseniViwango vya bei na tozo  | Masuala ya Afya, Usalama na Mazingira | Ripoti za Utendaji wa Mamlaka za Maji | Utatuzi wa Malalamiko yanayohusu Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira

Ripoti za Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira

EWURA hutayarisha ripoti za utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za Mikoa, Wilaya, Miji midogo na Miradi ya Kitaifa ambazo hutoa ulinganifu wa utendaji wao.

Ripoti za utendaji hutayarishwa katika seti mbili, ambapo moja ni ya Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za mikoa na miradi ya kitaifa, na nyingine ni ya wilaya na miji midogo. Ripoti hizi zinalinganisha utendaji wa Mamlaka na kushindanishwa kwa kufuata vigezo mbalimbali vya huduma zao.

Kushindanisha Mamlaka kunalenga kupima juhudi zinazowekwa katika kufanikisha malengo ya kiutendaji na namna Mamlaka hizo zinavyotimiza matakwa ya utoaji ripoti, kwa mujibu wa Performance Benchmarking Guidelines for WSSAs, 2022.

Zifuatazo ni ripoti za kila mwaka za utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za Mikoa,  Miradi ya Kitaifa, Wilaya na Miji Midogo.

 1. Taarifa_ya_Utendaji_wa_Mamlaka_za_Majisafi_na_Usafi_wa_Mazingira_kwa_Mwaka_wa_Fedha_2022-23
 2. Water-Utilities-Performance-Review-Report-for-Financial-Year-2022-23
 3. District and Township Water Utilities  Performance Review Report FY 2020-21
 4. Regional and National Project Water Utilities Performance Review Report  FY 2020 – 21
 5. District and Township Water Utilities Performance Review Report for FY 2019-20
 6. Regional and National Water Utilities Performance Review Report FY 2019-20
 7. District  and  Township Water Utilities Performance Review Report FY 2018-19
 8. Regional and National Project Water Utilities Performance Review Report FY 2018-19
 9. Regional and National Project Water Utilities Performance Review Report   FY 2017-18
 10. District  and Township Water Utilities Performance Review Report  FY 2017-18
 11. Regional and National Project Water Utilities Performance Review Report  FY 2016-17
 12. District and Township Water Utilities Performance Review Report FY 2016-17
 13. Regional and  National Project Water Utilities Performance Review Report FY 2015-16
 14. District and Township Water Utilities Performance Review Report FY 2015-16
 15. Regional and  National Project  Water Utilities Performance Review Report FY 2014-15
 16. District and Township Water Utilities Performance Review Report FY 2014-15
 17. Regional and National Project Water Utilities Performance Review Report FY 2013-14
 18. District and Township Water Utilities Performance Review Report FY 2013-14
 19. Regional and National Project Water Utilities Performance Review Report FY 2012-13
 20. District and Township Water Utilities Performance Review Report FY 2012-13

 

Visits: 350