Nyenzo za Udhibiti Sekta ya Maji na Usafi wa Mazingira

Taarifa za jumla | Shughuli za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira | Nyenzo za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira | Utoaji wa leseniViwango vya bei na tozo  | Masuala ya Afya, Usalama na Mazingira | Ripoti za Utendaji wa Mamlaka za Maji | Utatuzi wa Malalamiko yanayohusu Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira

Nyenzo za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira

Sheria

Uwezo wa kudhibiti watoa huduma wa maji na usafi wa mazingira unatokana na (EWURA Act Cap. 414); na (Water Supply and Sanitation Act, 2019). EWURA ina jukumu la kudhibiti Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira zinazotoa huduma kwenye maeneo ya Mijini na Miji Midogo. Sera ya Taifa ya Maji (National Water Policy (2002) inatoa mwongozo wa maeneo ya kipaumbele katika mipango ya maendeleo ya kisekta, usimamizi wa raslimali na matumizi ya maji.

Sheria ya (the EWURA Act, Cap. 414) na (the Water Supply and Sanitation Act, 2019) Maji na Usafi wa Mazingira, 2019 inatoa fursa kwa usimamizi endelevu na udhibiti wa kutosha na wa uwazi kwenye huduma za maji na usafi wa mazingira, ili kutekeleza (the National Water Policy, 2002).

Ifuatayo ni orodha ya nyenzo za udhibiti wa mamlaka za maji: –

Kanuni

Kanuni ndogo

Mikataba ya Huduma kwa Mteja ya Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira

Arusha WSSA; Chalinze WSSA; Moshi WSSA; Mtwara WSSA; Tanga WSSA; Ruangwa WSSA; Mwanza WSSA; Bukoba WSSA; Kigoma WSSA; KASHWASA; Shinyanga WSSA; Biharamulo WSSA; Kilwa Masoko WSSSA; Muleba WSSA; Mugango Kiabakari WSSA; HTM WSSA; Mwanga WSSA; Korogwe WSSA; Muheza WSSA; Loliondo WSSA; Katesh WSSA; Kibaya WSSA; Utete WSSA and Magugu WSSA.

Miongozo

Inspection manual for water utilities, 2015

Ministry of water and irrigation, Design manual for water supply and wastewater disposal, 2009

Viwango vya Ubora

TZS789,2016 – EAS12:14 Portable Water Specification

TZS 787- 1: 2015/ISO4046-1:2014 Water meters for cold portable water and hot water part 1: metrological and technical requirements

TZS 605 – 2: 2015(E) Plastic piping system for water supply for buried and above ground and drainage and sewerage under pressure- unplasticized poly viny chloride (uPVC) – 2 Pipes

TZS 605 – 3: 2015(E) Plastic piping system for water supply and for buried and above ground drainage and sewage under pressure – Unplasticized poly (viny chloride) (uPVC) – 3: Fittings

 

Hits: 72