Taarifa za jumla | Shughuli za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira | Nyenzo za Udhibiti wa Maji na Usafi wa Mazingira | Utoaji wa leseni | Viwango vya bei na tozo | Masuala ya Afya, Usalama na Mazingira | Ripoti za Utendaji wa Mamlaka za Maji | Utatuzi wa Malalamiko yanayohusu Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira
Viwango vya bei na tozo
EWURA ina wajibu wa kupitia viwango vya bei na tozo baada ya kupokea maombi kutoka kwa mamlaka ya maji au wakati wowote EWURA itakapoona kuna ulazima wa kufanya hivyo kama ilivyoainishwa katika section 17 of the EWURA Act, Cap 414.
Utaratibu wa kuomba viwango vya bei na tozo
Utaratibu wa kutuma maombi ya viwango vya bei na tozo umeainishwa kwenye Tariff Settings Guidelines for Regulated Water Utilities (2017), EWURA (Tariff Application and Rate Setting) Rules 2017, GN 452
Uamuzi wa Mamlaka kuhusu amri ya bei na tozo hutolewa kwa maandishi.
Amri za viwango vya bei na tozo
Amri za viwango vya bei na tozo kwa kawaida huambatishwa na masharti ambayo hayana budi kutimizwa na waombaji (WSSAs). Masharti hayo yanatakiwa kutimizwa ndani au kabla ya muda uliotajwa. Bofya Water and Sanitation Tariff Orders by Regions/Districts and Township zilizotolewa kwa mamlaka za maji.
Hits: 95