TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli Kuanzia Jumatano tarehe 6 Desemba 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 6 Desemba 2023 saa 6:01 usiku.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 3133

2 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli Kuanzia Jumatano tarehe 6 Desemba 2023

  1. Hey just ѡanted to give you a brief heads up ɑnd let you know a
    few ᧐f the images аren’t loading properly. I’m not sure why but I think
    its a linking іssue. I’ve tried it in two different web browsers and both show thе same outcome.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *