TAARIFA KWA UMMA : Ombi la Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Kujaza gesi Asilia Iliyoshindiliwa kwenye Magari Kutoka Tan Health Tanzania Ltd.

EWURA imepokea ombi la kibali cha ujenzi wa kituo cha kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Ujenzi wa Kituo Kidogo cha Kupokea Gesi Asilia Iliyoshindiliwa Eneo la Kiwanda cha King Lion Investment Co. Ltd, Kibaha, Pwani.

EWURA imepokea ombi kutoka kwa KING LION INVESTMENT COMPANY LIMITED ya kibali cha ujenzi wa kituo…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kampuni ya SBC Tanzania.

EWURA imepokea maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa kampuni ya SBC Tanzania. Mtu yeyote mwenye…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Muda ya Kuzalisha Umeme Kutoka Kampuni ya Wagonanze Investiments Ltd

EWURA imepokea maombi ya Leseni ya Muda ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa kampuni ya Wagonanze Investments…

TAARIFA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Majina ya Vituo vya Mafuta

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba EWURA imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na majina ya…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Kutoa Maoni Kuhusu Maombi ya Usajili wa Kampuni ya Jumeme

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya usajili wa mradi wa kuzalisha umeme kutoka…

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Vibali vya Ujenzi wa Vituo vya Kujazia Gesi Asilia kwenye Magari kutoka Kampuni za Puma Energy na Tanzania States Natural Gas Holding

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba EWURA imepokea maombi ya vibali cha ujenzi wa vituo vya kujaza…

TANGAZO: Fursa za Mkopo wa Uwezeshaji wa Ujenzi na Uendeshaji wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini.

Wakala wa Nishati Vijijini imeanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya gharama nafuu…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka Kampuni ya Mtibwa Sugar Estate Ltd.

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea…

TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Kuanzia Jumatano tarehe 2 Oktoba 2024

EWURA inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya…