Mwito wa Maoni au Pingamizi dhidi ya Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni kutoka Asood Petroleum Company Limited kwenda Allyen Company Limited

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo kutoka Asood Petroleum Company Limited kwenda Allyen Limited

Visits: 258

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *