TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi Na. CNGFS/2022/0003 kutoka kwa kampuni ya TURKEY PETROLEUM LIMITED kwa ajili ya KIBALI CHA UJENZI WA KITUO CHA KUJAZA GESI ILIYOSHINDILIWA (CNG FILLING STATION), Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani.
Soma zaidi :- Ombi la Ujenzi wa Kituo cha Kujaza Gesi Iliyoshindiliwa – Turkey Petroleum Ltd
Views: 299