TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka Maweni Limestone Limited. EWURA inakaribisha maoni au pingamizi kuhusiana na maombi hayo ya leseni. Taarifa za mwombaji pamoja na aina ya leseni iliyoombwa zimetolewa hapa chini:
Soma zaidi :- TANGAZO MAWENI
Views: 137