Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi ya leseni kutoka Nzega WSSA, awasilishe kwa maandishi EWURA kwa anwanindani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili.
Soma Zaidi:-Public Notice -Nzega WSSA
Views: 123