TAARIFA KWA UMMA : Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo – Mwandege Filling Station Limited

EWURA imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo kutoka kwa Mwandege Filling Station Limited kama ilivyo ambatanishwa. Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi;- Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni – Mwandege Filling Station Limited.

Visits: 115

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *