(EWURA) imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo kama ilivyo ambatanishwa. Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.
Soma zaidi ;- Maombi ya Kubadili Umiliki wa Kituo cha Mafuta.
Hits: 31