Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni ya kutoa huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika mji mdogo wa Igunga, awasilishe kwa maandishi EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili.
Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni -Igunga WSSA
Views: 73