Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu siku ya kutolewa kwa tangazo hili. Maombi ya leseni yanaweza kuonyeshwa kwa mtu kwa maombi maalum ya maandishi.
Soma Zaidi:-Taarifa kwa Umma-Leseni Suma Hydro Ltd
Hits: 113