Utoaji wa Leseni za Shughuli za Gesi Asilia

Gesi Asilia | Udhibiti wa Kiufundi | Utoaji wa Leseni za Gesi Asilia | Nyenzo za Udhibiti | Udhibiti Uchumi | Utatuzi wa Malalamiko na Migogoro

Utoaji wa Leseni za Gesi Asilia

WURA ni miongoni mwa mamlaka za utoaji leseni. Leseni hutolewa chini ya kifungu  131 na 133cha  Sheria ya Petroli 2015  kumhalalisha anayekusudia kufanya shughuli inayodhibitiwa katika mkondo wa kati na wa chini wa sekta ndogo ya gesi asilia, kwa kuomba leseni EWURA. Bofya LOIS  kuomba leseni kwa anjia ya mtandao.

 

Views: 170