TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yaandaa Kanuni Mpya za Umeme za mwaka 2022

Kwa mujibu wa Kifungu cha 8(1) (h) cha Sheria ya Umeme, Sura ya 131, Mamlaka ya…

EWURA Yazindua Miongozo ya Kuandaa Mikakati ya Kudhibiti Upotevu wa Maji na Usimamizi wa Dira kwa Mamlaka za Maji Nchini

EWURA imeandaa miongozo hiyo ili kuboresha utendaji wa Mamlaka za Maji nchini. Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/water-regulatory-tools/ Visits: 174

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan azindua Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Maji Nchini kwa mwaka 2020/21

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Ripoti ya Utendaji ya…

PUBLIC NOTICE: Application for a Provisional Electricity Generation Licence from SSI Energy Tanzania Limited

EWURA invites the public to provide comments and or objections on the application  for a Provisional…

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni ya kuzalisha Umeme kutoka kwa Kampuni ya SSI Energy

EWURA inakaribisha maoni au pingamizi kuhusiana na maombi  ya leseni kutoka Kampuni ya SSI Energy. Soma…

USAID/NARUC Women in Energy Regulation Internship Opportunities March 2022

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA), in collaboration with NARUC, has two internship opportunities…

Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Petroli

EWURA inatoa mwito wa maoni kuhusu maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta…

EWURA Updates the LSSSP Database for the month of February 2022 with 1,295 Local Suppliers

The Authority wishes to inform the petroleum industry operators, suppliers, service providers and the public that…

Mwito wa Kutoa Maoni: Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati (Babati WSSA)

TAARIFA inatolewa kwa umma kuwa, EWURA imepokea maombi ya leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na…

Mwito wa Kutoa Maoni:Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Shinyanga (Shinyanga WSSA)

TAARIFA inatolewa kwa umma kuwa, EWURA  imepokea maombi ya leseni kutoka kwa Mamlaka ya Maji na…