TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba EWURA imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la…
Category: Public Notices
TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano tarehe 3 Mei 2023 saa 6:01 usiku
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…
TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Leseni kujishughulisha na Mkondo wa Chini wa Petroli
Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…
TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Kibali cha Ujenzi kutoka kwa Kampuni ya TAQA Dalbit Tanzania LTD kwa ajili ya Kituo cha Kujaza Gesi Iliyoshindiliwa
TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepokea…
PUBLIC NOTICE: Application for a Construction Approval for a 2km Low-pressure Natural Gas Distribution Pipeline from Tanzania Petroleum Development Corporation
NOTICE is hereby issued to the public that, EWURA has received an application seeking Construction Approval…
PUBLIC NOTICE: Summons to Delta Petroleum Limited on Civil Case No 93 of 2022
Delta Petroleum Limited is hereby summoned to obtain leave from the Court within twenty one days…
TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Leseni kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli
Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…
TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli kuanzia Jumatano tarehe 5 Aprili 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…
TAARIFA KWA UMMA: Onyo kwa Wazalishaji, Waagizaji, Wasambazaji na Wauzaji wa Vilainishi Visivyokidhi Ubora
EWURA inatoa ONYO kwa wazalishaji, waagizaji, wauzaji wa jumla, na wasambazaji wa vilainishi kuacha mara moja…
TAARIFA KWA UMMA : Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo – Sim Oil
TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi…