TAARIFA KWA UMMA: Rais amteua Mha. Modestus Lumato kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA kuanzia 20 Mei 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mha. Modestus Martin Lumato  kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji kuanzia tarehe 20 Mei 2022; akichukua nafasi hiyo baada ya Bw. Felix Ngamlagosi aliyetumikia Mamlaka hadi Juni 2017, na Bw. Haruna Masebu (aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu mwanzilishi).

Soma Zaidi:-

 

Hits: 2143

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa.