Ombi la Kubadili Jina la Kituo – Manamba Lubricant Family Filling Station

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo kama ilivyo ambatishwa. Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.

Soma zaidi:- Ombi la Kubadili Jina la Kituo – Manamba Lubricants Family Filling Station.

Transfer of a Licence of a Petroleum Retail Outlet – Manamba Lubricants Family Station

 

 

Hits: 48

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *