Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Usafi wa Mazingira, Babati WSSA.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilipokea maombi ya marekebisho ya bei za huduma za maji safi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati. Wadau wanaombwa kuwasilisha maoni  kwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA kupitia anuani iliyotajwawakati wowote hadi tarehe 14 Novemba. 2022.

Soma zaidi :-Mwito wa kutoa maoni

Call For Stakeholders Views Babati WSSA

Visits: 218

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *