Mwito wa Kutoa Maoni : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili kupitia anwani tajwa :-

Soma zaidi:- Mwito wa Kutoa Maoni

Visits: 43

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *