Ufuatiliaji wa Utekelezaji Sekta ya Mafuta

Petroli | Miundombinu ya petroli | Utoaji wa leseni na vibali vya ujenzi | Nyenzo za udhibiti | Upangaji wa bei za bidhaa za petroli | Taarifa za utendaji | Ufuatiliaji wa Utekelezaji Sekta ya Mafuta | Utatuzi wa Malalamiko na Migogoro

Ufuatiliaji wa Utekelezaji Sekta ya Mafuta

Mamlaka hufuatilia utekelezaji wa Sheria, Kanuni, Viwango na uzoefu unaokubalika kimataifa kwenye sekta ya petroli katika mfumo wa usambazaji wa sekta. Ufuatiliaji wa utekelezaji unahusisha ubora wa bidhaa za petroli; viwango vya miundombinu, vinasaba vinavyokubalika kwenye mafuta, matakwa ya afya, usalama na mazingira pamoja na bei.

Mamlaka hufanya ukaguzi wa miundombinu ya mafuta kwa lengo la kuhakikisha utekelezaji wa Sheria ya Petroli, EWURA na sheria yoyote inayohusika.

Hits: 105