MWITO WA MAONI: Ombi la Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta aina ya Petroli kutoka Burhani Filling Station kwenda Pimaz Co.Ltd

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni kutoka Burhani kwenda Pimaz  afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA  ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:- Uhamisho wa Leseni kutoka Burhani kwenda Pimaz

Hits: 1364

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *