Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni kutoka Mamlaka ya Maji Namanyere, awasilishe kwa maandishi EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu yeyote kwa maombi maalum ya maandishi kwa anwani iliyotajwa hapa chini.
Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni -Namanyere WSSA
Hits: 24