TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Geita WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana dhidi ya maombi tajwa hapo juu, awasilishe kwa maandishi EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu yeyote kwa maombi maalum ya maandishi.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Geita WSSA

Visits: 56

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *