TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbulu

Taarifa inatolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414,  ili kukusanya maoni kutoka kwa wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali (EWURA GCC), Baraza Ushauri la Watumiaji wa Huduma Zinazodhibitiwa na EWURA (EWURA CCC), Wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbulu na Umma kwa ujumla kuhusu bei zinazopendekezwa. Kama sehemu ya taftishi, kutakuwa na mkutano wa kusikiliza maoni ya wadau utakaofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 15 Septemba 2022 katika Ukumbi wa Community Centre Mjini Mbulu kuanzia saa nne asubuhi.

Soma Zaidi:-

Visits: 136

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *