TAARIFA KWA UMMA:Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA

Kwa mujibu wa kifungu cha 8(2) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, Waziri wa Nishati, Mhe. January Y. Makamba (Mb) amewateua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA kwa miaka minne kuanzia tarehe 20 Oktoba 2022.

Soma Zaidi:-UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI EWURA-27.10.2022

Visits: 979

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *