TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji za Mbeya WSSA

Taarifa  hii inatolwa kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414,…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Geita WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana dhidi ya maombi tajwa hapo juu, awasilishe kwa maandishi…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Namanyere WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni kutoka Mamlaka ya Maji Namanyere,…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Leseni kutoka Mpanda WSSA

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni kutoka Mamlaka ya Majisafi na…

Mwito wa Kutoa Maoni : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…

Ombi la Kubadili Jina la Kituo – Manamba Lubricant Family Filling Station

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea…

TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Kuanzia Jumatano 2 Novemba 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…

TAARIFA KWA UMMA:Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA

Kwa mujibu wa kifungu cha 8(2) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbulu

Taarifa inatolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414,  ili…

TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano Tarehe 7 Septemba 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…